Mabwanyenye walimpoteza!!!1913 - Jimmy Hoffa anazaliwa.
Alikuwa ni Kiongozi wa zamani wa vyama vya Wafanyakazi huko Marekani.
Baada ya kuongoza Mgomo wa kudai Maslai ya Wafanyakazi huko Marekani, alipotea katika mazingira ya kutatanisha mwaka 1975.
Baada ya msako wa miaka kadhaa wa kumtafuta bila mafanikio akatangazwa amefariki Dunia mwaka 1983.
Mpaka leo haijulikani Hoffa alipotelea wapi, je ni nani alihusika na kifo chake pia imebaki kitendawili.
umefika salama au bado hajaanza safariMa wiii miss u jamani
Tanx hny,de same to u
hahahhah eb acha kunichekesha bwanaHahahahahahhahahahahhahahaha ukiambiwa hivo unajibuje natia aibu sasa
Mtaalam1992 - Christian Eriksen anazaliwa.
Kiungo wa kati wa Denmark na klabu ya Tottenham ya Uingereza.
Mmoja kati ya Viungo makini kabisa EPL.
1989 - James Bond anafariki Dunia.
Alikuwa ni mtaalam wa viumbe hai hasa ndege. Alikuwa ni raia wa Marekani.
Jina lake lilichukuliwa na kuanza kutumika katika mfululizo wa Filamu za Kijasusi zijulikanazo kama James Bond.
Mtunzi wa filamu za James Bond, ndugu Ian Fleming alipenda sana kufatilia kazi za James Bond hasa kwa kutazama Vipindi vyake na kusoma vitabu vyake hasa vinavyohusu Ndege, hali hiyo ilipelekea akalipenda sana Jina la James Bond na kuliomba alitumie katika Filamu zake alizozitunga akianza na ile Casino Royale ya mwaka 1953.
Hivyo mwenye jina la James Bond alikuwa ni mtaalam wa ndege ambapo jina lake likaenda kutumika katika filamu za kijasusi.
nampenda kikawaida tu kama ninavyokupenda ww le mushenga
Wanaume tunatumiwa tu. Tuamke!!!
Merci beaucoupLeo Katika Historia:
Kwa leo niishie hapa, tukutane tena kesho. Jioni njema wakuu.
Utasubiri sana
Leo atupigie Barca
Aache uzembe wa kukosa bao za wazi
.......
Kudos, safi mkuu.Mussolin5 kwa kuongezea tu;
1867 mvumbuzi wa Kijapan sakichi Toyoda alizaliwa. Akiwa mbobezi kwenye uvumbuzi na umiliki wa viwanda vya kufuma nguo, ndiye mwanzilishi wa Toyoda Automatic Loom Works. Baadaye mwanaye alijikita kwenye masuala ya utengenezaji wa magari, na ndipo jina Toyota (lilionekana kutamkika kiurahisi zaidi kuliko Toyoda) lilipojitokeza na kupata mafanikio zaidi.
Haihitaji ht uwe na Masters ya LawAhsante kwa taarifa, mambo kama haya yamenipitia kushoto.....all in all wafanyabiashara ni wajanja sana.....amewaachia selekale manyoya
Sijajua mkuu
1992 - Christian Eriksen anazaliwa.
Kiungo wa kati wa Denmark na klabu ya Tottenham ya Uingereza.
Mmoja kati ya Viungo makini kabisa EPL.
Kama Ben Saa TisaMabwanyenye walimpoteza!!!
Huwa hapewi sifa anazostahili, Waingereza utasikia wakiwasifia akina Dele Alli, Harry Kane.Mtaalam