Makapuku Forum

Tatizo ni kwamba hatujui lengo lake ni nini. Pengine hata wakimtoa lengo lake litakuwa limeshatimia. Kumbuka tayari ni tajiri wa kutupwa (kama yaliyosemwa bungeni ni kweli!). Siasa ni kama mchezo wa chess. I hope anajua anachofanya!

Let's hope so. lakini akae akijua kwenye chess kuna Bishops, Knights, Kings and Pawns na kamakumwangalia tu unagundua kuwa huyu jamaa ni Pawn, anaweza kwenda mbele tu na kukamatwa ni rahisi sana hasa kama Mabishop na making wakiona anawakanyagia waya
 
Mkuu hata Sheria za kimila haziwezi kushindana na Sheria za nchi/written laws kamwe sema tu kijijini watu hawajui Sheria nfio maana wanapelekeshwa tu km ng'ombe
Kwahiyo mikwara ingeweza kusaidia huko kijijini kwao

........
 
lee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…