Haaaaahaaaaa ndio tunaelekea huko, mtu anaposema na gari iwekwe rock up unategemea niniTunapelekwa Chatto
Kesho utasikia nina mamlaka ya kumuamuru mwanaDSM yoyote yule nikijisikia aje nyumbani kwangu apige deki
...........
mzima sanaYako poa kabisa shemela, Lee mzima, mpe hi
Ndoto zangu zote zitatimia...the queen of Sheba!Hahahhhh unanitamanisha sijui nibadili gia angani
Nakumbuka sanaIle fainali ya Uefa Champions League mwaka 1999 kati ya United na Bayer refa alikuwa yeye.
Nimeishausoma mchezoNimekatazwa kumtaja lakini ukifuatilia mjadala alishajulikana. Na mwenyewe nina uhakika anajua (japo kujua na kutojua na thamani ya kila kimoja katika wakati wake ndo tatizo). Uhai na kuwako! Kutokuwepo, ombwe na vimulimuli bandia! Uwiii!!!
Msukuma au sioObe wa nn tena
Nakuonaga tu kwenye jukwaa la ManHahahhah nipo mkuu mzima
Hata huko CCM hatadumuMadenge. Mambo mengine ni kuyapotezea tu. Huyu dogo naye atakuja na kwenda. Walikuwepo akina Lyatonga Mrema na hii impromptu justice wakivuma sana mpaka kuundiwa cheo kisichokuwepo cha naibu Waziri Mkuu. Walifika wapi? Kuna kitu kinachotaka kufanywa na kikikamilika basi utaona mambo yanapoa menyewe. Matamko mangapi alishatoa lakini hakuna hata moja lililofanikiwa?
Suala hili la sasa ni tete sana na dunia nzima linawakunisha vichwa na kamwe halitamalizwa kwa kiki za kisiasa, ajenda za siri na michezo angamizi isiyofuata utaratibu wala mihimili ya kisheria . Mimi namuunga mkono sana na kijamii naona amefanikiwa kuwasha moto japo ni wa mabua. Ngoja pepo zivume sasa na dhoruba za wahusika zimshukie ndo utaona. Jipe muda na kamwe kabisa kabisa usimwamini mwanasiasa hata kama ni dingi wako!
Mlinzi upo
Obe kawa msukuma tenaMsukuma au sio
Jamani nimekerwa sana na hizi nyodo na mikwara ya kondakta
Duh kajamaa kameanza dharau eti ooh nina mamlaka ya kumfukuza mtu Dar....yaani jamaa kavimba kichwa angeonesha badi kifungu cha Sheria kinachompa hayo mamlaka
Mara ooh kukutwa umetumia dawa za kulevya ni jela miaka mi3 ....hapa pia hajataja kifungu (najua Sheria inatoa adhabu ya Fine au kifungo au vyote kwa pamoja) lakini hakuna mambo ya kupimana maana watu huweza hata kuwekeana kwa makusudi
Haka kajamaa huwa kanaropoka tu utafikiri nchi nzima ni mambumbumbu
A dunderhead
...........
Ndo tabu ya kuongozwa na MASKINIHaaaaahaaaaa ndio tunaelekea huko, mtu anaposema na gari iwekwe rock up unategemea nini
Hana uwezo wa kunifukuzaMkuu bitoz unatafuta kuhama nini tena kasema unaweza kutoka na ndala tu.
Kule ndo nyumbani mkuu karibu snaNakuonaga tu kwenye jukwaa la Man
Hata huko CCM hatadumu
Sasa noma keshakuwa na maadui wengi....km waliweza kumchezea faulo mamvi watakashindwa haka kajamaa?
Umeongea point bro
..................
Collina alikuwa nomaHii red card ndio aliyompatia Kruvet mwaka 1998 kombe la Dunia
Tatizo ni kwamba hatujui lengo lake ni nini. Pengine hata wakimtoa lengo lake litakuwa limeshatimia. Kumbuka tayari ni tajiri wa kutupwa (kama yaliyosemwa bungeni ni kweli!). Siasa ni kama mchezo wa chess. I hope anajua anachofanya!Hata huko CCM hatadumu
Sasa noma keshakuwa na maadui wengi....km waliweza kumchezea faulo mamvi watakashindwa haka kajamaa?
Umeongea point bro
..................