Makapuku Forum

Makapuku Forum

tapatalk_1484928217912.jpeg
 
-Naomba nichukue nafasi hii kuwapongeza pamoja na ugumu wa January hamjauza simu zenu[emoji3][emoji3]

Mmetisha sana family, kuna group la wasap tumebaki wawili[emoji3][emoji3]
��������
 
Niliwahi kusikia kuwa maji na mafuta havichangamani, na pia mafuta huwa yanaelea juu ya maji.....
Basi jana mimi nikaamua kupaka mafuta mengi tu miguuni kisha nikaingia baharini ili niweze kutembea juu ya maji maana nilihisi ningeelea na kuweza kufanya chochote.

~sikumbuki nini kilitokea lakini nilijikuta nimelala mchangani watu wakiwa wamenizunguka huku wakisema niwashukuru sana wavuvi. Nadhani watakuwa wamenipa samaki wa bure

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bora hiyo bangi uliyovuta, ungevuta unga mngetafutana na mkuu wa wakuu wa mikoa ya Zanitana=
 
Back
Top Bottom