Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Ile orodha ya pili ni ya MAPAPA au wale ni SANGARA tu?Tena Gwajima leo kaahidi maajabu na miujiza ya aina yake. Kama unajihisi kuwa una mikosi mikosi basi leo ndo siku ya kufika kwa Gwajima. Unaambiwa hata kama Makonda alikuwa anatarajia kukutaja basi jina lako hatalikumbuka tena! Ooooh tazama yote yamekuwa mapya!!!