Makapuku Forum

Makapuku Forum

035bd0bc541e06f905f8352223f4ccf2.jpg

Goal of the month
Andy Carroll{West Ham}

Wapi Giroud...ile ilikuwa ni cow kick tu ila ilikuzwa ili kulifunika bao la Mkhitaryan lakini imeshindwa hadi na goli la Caroll
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
...........
Thanks Mr Balozi
 
Nilikuwa safarini mkuu. Nimerudi na nitakuwepo kwa takriban miezi mitatu. Inshallah tutakuwa pamoja. Shunie ndo huwa ananifanya nipamiss huku sana sana. Halafu tena nikikukumbuka wewe (ukiwa na Shunie) stimu inakata. Hata hivyo tuko pamoja mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
Karibu sana,pole Na safari ubarikiwe sana
 
Back
Top Bottom