Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Asante mkuulee ahsante kwa magazeti Bablai
Asante mkuulee ahsante kwa magazeti Bablai
Kwenda zakoUmekanà wazï wàzi
Ni page gani hiyo? Link?Hey mazeee habar za asubuhi wakuu....
Napendekeza kua kwa kunogesha makapukuz forum muwe mnatowekea vile vituko kutoka page ya Be like broooo... panoge vzr
Ingia fb search Be like bro. Au Desifun nashindwa kuweka linkNi page gani hiyo? Link?
Bahati mbaya sina account Facebook. Mbona wewe usiwe unatuwekea vituko hivyo hapa kwa vile tayari inaonekana unaijua hiyo page vizuri?Ingia fb search Be like bro. Au Desifun nashindwa kuweka link
Simu yangu inashindwa kupload photo. Ila hata instagram ipo au download app inaitwa Be like broBahati mbaya sina account Facebook. Mbona wewe usiwe unatuwekea vituko hivyo hapa kwa vile tayari inaonekana unaijua hiyo page vizuri?
Jamaa waliweka check and balances ili kuzuia rais asiwe na madaraka makubwa kupindukia na hatimaye kuwa dikteta. Kila mhimili wa madaraka unajitegemea na kufanya kazi yake inavyopaswa. Trump tayari ameanza kuhangaika na haamini kama jaji tu tena wa mahakama yenye hadhi ya kiwilaya anaweza kupiga chini amri zake. Demokrasia!
Leta tupicha twa be like bro kama unato
Safi sana bro bitoz poromosha v2 mr president maguli
Hiyo ni Separation of power tuliobahatika kusoma Administrative law tunaelewa vizuriJamaa waliweka check and balances ili kuzuia rais asiwe na madaraka makubwa kupindukia na hatimaye kuwa dikteta. Kila mhimili wa madaraka unajitegemea na kufanya kazi yake inavyopaswa. Trump tayari ameanza kuhangaika na haamini kama jaji tu tena wa mahakama yenye hadhi ya kiwilaya anaweza kupiga chini amri zake. Demokrasia!
Hata sisi ile katiba ya Warioba ina mapendekezo mazuri sana kuhusu kupunguza madaraka ya rais. Ila ndo hivyo tena; tumeiweka kwenye makabrasha kwanza. Demokrasia!