Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
kwahyo mumsikilize uongo wakeKwanini tusimsikilize???
kwahyo mumsikilize uongo wakeKwanini tusimsikilize???
hahahhhJamani baby nimemdanganya kwa kipi yeye kadanganywa na mawazo yake
Sina maana hiyo ...Uja wepesi
Jaman baby ,huyo shemela mawazo yake yamekimbilia uko we endelea kunidekeamuongo huyo usimsikilize shemela
Wewe shemela acha kunyumbua maana ...mengine siri yetuHaaaahaaaa nimekuelewa shemela wangu
MmhJaman baby ,huyo shemela mawazo yake yamekimbilia uko we endelea kunidekea
mutu ya faranga![]()
Nijue kama kuna lindo limevamiwa na kujua nchi inaendaje mkuuMlinzi na magazeti wapi na wapi?
Nijue kama kuna lindo limevamiwa na kujua nchi inaendaje mkuu
Adui anaweza tumia hizo kelele za drugs kama upenyo, watakavitu ni wengi mkuuHa hahhaha, nchi inaongozwa na mtakatifu labda ivamiwe na mtakavitu
Hivi leo ijumaa uwiiiii mbona akaunt hazieleweki?![]()
Much love makapuku, TGIF
Hivi leo ijumaa uwiiiii mbona akaunt hazieleweki?
Tuliaminishwa january ngumu lakini naona na hii feb nayo balaa tutaenda sawa tu ntahamia hata kwene balimi ili twende sawaHa hahahhahah, unalipwa kwa wiki hadi akaunti ieleweke? Subiri TRA wakusanye ndo ulipwe tarehe 28
Mkuuu nishaamka apa .,uko poa lakin??Mkuu lee ushaamka ee
Niko poa mkuu nasubir ma newz tu hapa kwa makapukuMkuuu nishaamka apa .,uko poa lakin??