manuu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2009
- 4,064
- 10,745
Kabisa kabisa....Ni vema na haki kumshukuru Mungu
Kabisa kabisa....Ni vema na haki kumshukuru Mungu
Nimeona majibu yako my dear na hakika ni yakupendeza nimempa kazi wifi ako ajaribu kupendekeza majina nimempa idea ya Calvin na Careen...Sijui wewe mke unapendekeza majina yapi ila hapo kutakuwa na Manka na Sawee..Baby nimeshamjibu my wii
Love yu......
Ndugu yangu baadae kidogoKabisa kabisa....
Abee sweetPatience123
Umenimiss sana eeh?
Niko poa wangu,ulipotelea wapi!![]()
Mzima lakini?
Wana bahati kweli nimeshindwa kusoma posts zoteNiko poa wangu,ulipotelea wapi!
Majirani walikuwa wananicheka.
Usijali baby karibu tenaWana bahati kweli nimeshindwa kusoma posts zote
AsanteUsijali baby karibu tena
hun nko busy kidogo...Ntakuja.sawa!!?Jamani shem acha kutucheka basi, mda si mrefu mpenzi wangu aggyjay atakuja.
Utasubiri sanaMlinzi sina demu jamani,naona kina youngblood mnamiliki tu
Jamani mummy, nsamehe bure hayo yalikuwa matani tu. Naahidi sitorudia tena mpenzi sawaa!?hun nko busy kidogo...Ntakuja.sawa!!?
Hlf tabia ya kufukuzia wanawake kule love connect siipendi..Ntakuacha ujue😉😡😉