Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,498
Mzima swahiba? Mke mwenza yuko poa?
Mzima swahiba? Mke mwenza yuko poa?
Atajua tu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] labda tumuombe kaka yangu mshana Jr amfunge na ndumbaUsijali, hatojua chochote.
Sawa mrembo mzuri!
Wifi mzima wewe?Naona watu wapo single Leo wenza wao wamegoma kuja pande hizi...
Cc
Th Name
jambilo
youngblood
EMMYGUY
Hivi wamekuona dada!Mzima swahiba? Mke mwenza yuko poa?
Hawajaniona... Wala usiwashtue[emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hivi wamekuona dada!
Tuko poa mkuu Mungu ni mwema.monday blue mko poa humu?
Mie mzima my wiiWifi mzima wewe?
ie nimeshakuona ..... maliza kunywa chai haraka leo kuna kushtukiziwa!!Hawajaniona... Wala usiwashtue[emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hujaniona bhana[emoji1] [emoji1] [emoji1] umebugi labda umenifananisha[emoji124] [emoji124] [emoji124]M
ie nimeshakuona ..... maliza kunywa chai haraka leo kuna kushtukiziwa!!
Kaka yangu manuu hajambo?Mie mzima my wii
Mzima sana.kaenda kwa jobKaka yangu manuu hajambo?
Sikukuona?? kwani jua la asubuhi lafichika una ng'aa kote..Hujaniona bhana[emoji1] [emoji1] [emoji1] umebugi labda umenifananisha[emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Sikukuona?? kwani jua la asubuhi lafichika una ng'aa kote..
Nimerudi Mumy kwanza niambie u hali gani asubuh hii yenye kupendeza?manuu umerud...
Weekend ilikuwa ndefu balaa
youngblood nilikwambia jumatatu watu watarud humu ndan
Ndio wameanza sasa....
Okey Fanya mniletee aunty bwana[emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5]Mzima sana.kaenda kwa job
Kaka kaja[emoji5] [emoji5] [emoji5]Nimerudi Mumy kwanza niambie u hali gani asubuh hii yenye kupendeza?