EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Hivi shem Nahrene amesharudi tayari?Mkuu hujaona baada ya shemeji yetu Nahrene kuja youngblood amepata raha isiyo kifani...Yaan hadi anatumia loud speaker kuongea naye ili kwa wale waliodhania mabaya wajue wameshindwa...Dah kweli wanatutesa wanapo jificha..