manuu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2009
- 4,064
- 10,745
My one and only sisy...Upo poa?Kaka kaja![]()
![]()
![]()
My one and only sisy...Upo poa?Kaka kaja![]()
![]()
![]()
Uko poa kabisaMorning,
That's my promise sisy..Am waiting![]()
![]()
![]()
![]()
Ila unajua kukaa kimya nalo ni jibu ila tafsiri iko kwa mtazamaji...Wewe unapata tafsir gani sasa maana hata mimi nimepata tafsir yangu..Hajaijibu atakuwa kaipotezea![]()
![]()
![]()
![]()
Wifi tanalifanyia kaz hili swala na nahisi tutaleta mapacha,,,,,love yu my wiiHajaijibu atakuwa kaipotezea![]()
![]()
![]()
![]()
Mkuu uko poa?Uko poa kabisa
Niko poa kabisa. Sijui weweMkuu uko poa?
Nazidi kububujikwa kwa upendo juu yako my dear...Wifi tanalifanyia kaz hili swala na nahisi tutaleta mapacha,,,,,love yu my wii
ebu nifanye kaz za watu kwanza...tutaonana badae
Okey wiiii hapo kwenye mapacha hapo umenigusaWifi tanalifanyia kaz hili swala na nahisi tutaleta mapacha,,,,,love yu my wii
ebu nifanye kaz za watu kwanza...tutaonana badae

Poa sana hakuna mbaya ni jtatu ingine tunashukuru Mungu..Niko poa kabisa. Sijui wewe
Kashanijibu amesema ataniletea mapachaIla unajua kukaa kimya nalo ni jibu ila tafsiri iko kwa mtazamaji...Wewe unapata tafsir gani sasa maana hata mimi nimepata tafsir yangu..

Ni vema na haki kumshukuru MunguPoa sana hakuna mbaya ni jtatu ingine tunashukuru Mungu..
Sister nimekukubali sana hukukosea kumuonyesha kaka ako hapo...Okey wiiii hapo kwenye mapacha hapo umenigusa![]()
![]()
![]()
![]()
Nimezidi kububujikwa na mapenzi kutokana na jibu lake...Dada wacha nianze pendekeza majina wakwanza ataitwa Calvin na Careen... Wewe unasemaje?Kashanijibu amesema ataniletea mapacha![]()
![]()
![]()