Makapuku Forum

Makapuku Forum

Udaku
bdae76c5adc60a184e5eb98b1c137b62.jpg


Tuwe na Siku njema wakuu
Asante lee....mama bite hajambo
 
[emoji298][emoji298]BREAKING NEWZ[emoji298][emoji298]
Baada ya Frederic Richard kujitoa uhai.....mwanaume mwingine mwanafunzi wa udsm baada ya kusalitiwa na mpenzi wake kakutwa chumbani kwake kanywa maji ya baridi ya Azam uku anaangalia season!!

[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
 
Back
Top Bottom