Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji298][emoji298]BREAKING NEWZ[emoji298][emoji298]
Baada ya Frederic Richard kujitoa uhai.....mwanaume mwingine mwanafunzi wa udsm baada ya kusalitiwa na mpenzi wake kakutwa chumbani kwake kanywa maji ya baridi ya Azam uku anaangalia season!!

[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Mfyuuu
 
Wakuu Nataka nikachukue mzigo wa urembo wa elfu hamsin tu Wapi duka zuri kwa bei ya jumla
Maduka yapo mengi ila itategemea na unahitaji nini mkuu kutokana na bajet yako

Mfano iyo 50 unaweza ukanunua Queen Elizabeth makopo mawili ,naonaga Shunie wangu anachukua kwa moja nusu ya bajet yako
 
[emoji298][emoji298]BREAKING NEWZ[emoji298][emoji298]
Baada ya Frederic Richard kujitoa uhai.....mwanaume mwingine mwanafunzi wa udsm baada ya kusalitiwa na mpenzi wake kakutwa chumbani kwake kanywa maji ya baridi ya Azam uku anaangalia season!!

[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Bora angekunywa kilimanjaroo[emoji14]
 
Maduka yapo mengi ila itategemea na unahitaji nini mkuu kutokana na bajet yako

Mfano iyo 50 unaweza ukanunua Queen Elizabeth makopo mawili ,naonaga Shunie wangu anachukua kwa moja nusu ya bajet yako
Usimkatishe tamaa lee acha aende nilipomuelekeza atapata vingi kwa hela hiyo wanauza jumla kule mpk kuanzia elf 1
 
[emoji298][emoji298]BREAKING NEWZ[emoji298][emoji298]
Baada ya Frederic Richard kujitoa uhai.....mwanaume mwingine mwanafunzi wa udsm baada ya kusalitiwa na mpenzi wake kakutwa chumbani kwake kanywa maji ya baridi ya Azam uku anaangalia season!!

[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Aisee
 
Back
Top Bottom