shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Sembe imekuwa janga la Dunia...malkia wetu wa nyuki sijui aliishiaga wapi wanaSimba enzi za JMK
Sembe imekuwa janga la Dunia...malkia wetu wa nyuki sijui aliishiaga wapi wanaSimba enzi za JMK
hahahhh mke mdogo wa mkuu wa zamani alikuaga na mikwara kipindi cha simba...malkia wetu wa nyuki sijui aliishiaga wapi wanaSimba enzi za JMK
happy birthday to himPamoja sana.
nina kaka angu kila siku malalamiko hana helaBandali siku hizi ni majanga
Huko ni njaa sana sasa hivi, labda baadaye kitaelewekanina kaka angu kila siku malalamiko hana hela
hahahhhhh nahisi upo uko shemelaHuko ni njaa sana sasa hivi, labda baadaye kitaeleweka
Ngoja nifuatilie game la Hull v United ni mechi muhimu sanaPamoja sana.
Mbona una mafumbo km muuza mbegeHappy birthday mtu wangu wa nguvu...
Najua unapitaga humu
Matokeo muhimu, kisimbuzi changu kimegoma kupokea chanel, leo sijui hata ulimwengu ulivyoshindaNgoja nifuatilie game la Hull v United ni mechi muhimu sana
......
Hapana shemela, ila ni wadau wangu sanahahahhhhh nahisi upo uko shemela
hahahhh sawa shemelaHapana shemela, ila ni wadau wangu sana
Legue CupMatokeo muhimu, kisimbuzi changu kimegoma kupokea chanel, leo sijui hata ulimwengu ulivyoshinda
Baby tulalehahahhh sawa shemela
naangalia mpira baby we lala tuBaby tulale
Na hiyo timu unayoipenda mkifungwa usilale kimyakimya ntajitahd kuamka nikupozeenaangalia mpira baby we lala tu
sawa baba biteNa hiyo timu unayoipenda mkifungwa usilale kimyakimya ntajitahd kuamka nikupozee
Hahahaa! Mbona bitoz wewe milliard nini ?Mbona una mafumbo km muuza mbege
![]()
![]()
![]()
............



Hivi Lee anajua kucheza mpiranaangalia mpira baby we lala tu
Hivi Lee anajua kucheza mpira