Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Kwema malkiaKwema humu
Kwema malkiaKwema humu
Kweli bhinamuu....anavyomsaidiaga lee empire kuweka magazeti huwa anafanya vizuri
Tulia bhasi jembeNitauza mechi
AhaaaaaaaaahAcha woga mjombaangu, PM -Ka4n Majaliwa si kasema anahamia majengo ya udom? Kumpata akupe SLP
Achana na huyo ,malizia tuelekee mezanhahahahh nimeambiwa nisikwambie
hahahhh acha tu amskilize johnson mwenzie huyo sijui mzee wa bandariNa jua linapenya mpaka mfukoni
kwema malkiaKwema humu
HahahaaahAcha woga mjombaangu, PM -Ka4n Majaliwa si kasema anahamia majengo ya udom? Kumpata akupe SLP
Pm tena ebu kuwaga siliasii ,,alafu mbona kijiweni sikuoni mm ujue nawahi bonge wangu


MmhTulia bhasi jembe
Leo Katika Historia:
1980 - Israel na Misri waanzisha mahusiano ya Kidiplomasia.
1963 - Jose Mourinho anazaliwa.
Kocha wa zamani wa Porto, Chelsea, Inter Milan, Real Madrid na sasa Man Utd.
1987 - Sebastian Giovinco anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Juventus anayekipiga Nchini Marekani kwa sasa.
1979 - Nelson Rockefeller anafariki.
Alikuwa ni mfanyabiashara na Mwanasias wa Kimarekani ambapo alikuwa ni Makamu wa Rais wa 41 wa Nchi hiyo.
Anatoka katika moja ya familia tajiri nchini Marekani.
- Millard Ayo anazaliwa.
Ni mtangazaji maarufu wa redio ya Clouds Fm.
kwema malkia
Hahaha kweli, pamoja bablai.Kwa hisani ya josee, asante mussolin
Pamoja sana.
Bandali siku hizi ni majangahahahhh acha tu amskilize johnson mwenzie huyo sijui mzee wa bandari