Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
hofu kwako tuUko Poa kipenda roho chake Baba Bite![]()
![]()
![]()
hofu kwako tuUko Poa kipenda roho chake Baba Bite![]()
![]()
![]()
nakusubili ujueNimetulia kwanza apa ikipungua naenda kwa bonge wangu
Wala usiwe na hofu ,nakuja wa moyonakusubili ujue
Komaaa mkuuAlly Hassan Mwinyi road
nakusubili ujue
Naona thread yenu pendwa imefutwaWala usiwe na hofu ,nakuja wa moyo
Ipi mkuu ??Naona thread yenu pendwa imefutwa
Duh nimeshtuka
.......
Nimeoona mkuuNaona thread yenu pendwa imefutwa
Duh nimeshtuka
.......
Leo katika Historia:
1971 - Idd Amin anampindua Rais Milton Obote na kuingia madarakani kama Rais wa nchi ya Uganda.
1993 - Watu watano wanapigwa risasi nje ya ofisi za makao makuu ya Shirika la Ujasusi la Marekani, CIA huko Langley, Virginia.
Watatu wanafariki hapohapo wawili wanajeruhiwa.