ruwaeyishi
Member
- Jan 15, 2017
- 86
- 18
Umelenga
baba bite wanguMama Bite wangu
Watu weweeeeeeeeeWewe tu takusaidia![]()
Ndiyo Habari ya mujiniKugufurikaa
Ngumu sanaUtaanguka
Shemela mamboHahahhh
Kuna mabasi yaliwahi kuwepo yalikuwa yanaitwa zafananaLee shukran huyo kaka aliyejiua anasikitisha sana sijui kwa nn aliamua kufanya hivyo wanawake wote hawa
poa shemela uko poaShemela mambo
mmhKuna mabasi yaliwahi kuwepo yalikuwa yanaitwa zafanana
Ukitafakali sana utapata jibu
Niko poa kabisa shemela wangupoa shemela uko poa
Ndo homa ya nchiKugufurikaa
Shululu uko poa ??Niko poa kabisa shemela wangu
Niko poa mkuu Lee, vp wewe?Shululu uko poa ??
Niko poa mkuu ,mida ya kutoka kugufurikaNiko poa mkuu Lee, vp wewe?
Vizuri, Kuna foreni aisee sijui imetoka wapiNiko poa mkuu ,mida ya kutoka kugufurika
Mkuuu inamaana na wewe upo nyerere road ??Vizuri, Kuna foreni aisee sijui imetoka wapi
Nimetulia kwanza apa ikipungua naenda kwa bonge wanguVizuri, Kuna foreni aisee sijui imetoka wapi
Ally Hassan Mwinyi roadMkuuu inamaana na wewe upo nyerere road ??
Kila la kheriNimetulia kwanza apa ikipungua naenda kwa bonge wangu