Makapuku Forum

Makapuku Forum

Morning all kapuku ..kwa udhamini mnono wa
salaniatz tukaone magazeti ya leo
1b5b966ed57a2df09be85bfc6f01d8a3.jpg
2cd040f500bcc1bde08b29742f4720f2.jpg
83a5e38c54b563c3f4106dc227495194.jpg
698f139e9565909dfc7250f64f6ec03d.jpg

kazi anayo mwaka huu
1b913db338cfb06ba694c06f5189f62e.jpg
b8c5d63df3ab3b1acbef64d43d816e73.jpg
9c7e3e5c355206f3f10ce9ecb76bfb5f.jpg
422aff09e90263de1bf8b468b3d1abbd.jpg
Gazeti la Nipashe lina habari ambayo imenigusa sana, infact inanihusu. Naomba kuelezwa ni kanisa gani limepiga marufuku ndoa za wazazi?
Nipo kijijini hakuna magazeti huku.
 
Bado njaa haijafika mkuu.
Mi nipo kijijini ninachoona ni dalili ya njaa. Kwa mwaka huu mavuno yatakuwa ni machache mno kutokana na mvua kuchelewa na kuwa chache. Nionavyo mimi, kuanzia mwezi wa sita mpaka february 2018 ndo tutajua nini maana ya climate change.
Mimi pia nilikuwa kijiji fulani njaa IPO sema aliyeshiba hawezi ona hill....mwezi wa 6 mbali sana kule muda huh watu wanakula maembe km nyani vile
Kumbuka tu kila mwaka kijijini njaa ipo ila mwaka huu balaa/imevuma sana sababu ya kukosekana mvua za vuli

Pia nimegundua vijiji vimepoa sana tanguJPM aingie madarakani mfano zamani wakati wa gulio watu walikuwa nyomi lakini siku hizi wamepungua sana
Pia japo watu wanazaliana lakini nimekuta pilikapolika zimepungua nahisi wameanza kukimbilia mijini kwa kasi
Njaa ya chakula na fedha ipo

........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom