Makapuku Forum

Makapuku Forum

45bfc138ece1f484c97398b659778524.jpg
hali ni tete abiria chunga mzigo wako
 
983cd2321df0eb37c10046cddc34ccc8.jpg
Bao alilopiga Rooney lina maana kubwa
Amempita Sir Bobby Chalton kwa magoli....sasa hivi Rooney ndo mfungaji bora wa muda wote Manchester United

Congrats Wazza

..........
 
Ladies jaribu kuchukua hata dakika mbili kuwakumbuka na kuwaombea mema huko walipo wale watu mliokua mna date nao wakati mko secondary ...anakupenda bila make up.. Bila mawigi.. Bila kusuka.. Umenyoa kichwa kama baba ako.. Unashinda na sketi jekundu lina marinda miezi 6 alafu oversize... Shape haieleweki haionekani.. Umekonda.. Unakula ugali na maharage ya wadudu ila yeye yuko bega kwa bega na wewe.. Yale ndio yaliitwa True Love sasa..

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom