Makapuku Forum

Makapuku Forum

20b386ac7241e3153b531b58e7e6c8bd.jpg
wanaume msi tutende jamani
Dah hayo maumivu jamani msiombee....ukiwa mwepesi lazima ubaki na roho ya visasii
 
Bitozi c wote hatuna pesa
Kuna wenzetu haziwapigi chenga hizi ndogo ndogo
Zile ni hisia zangu
Najua kuna watu mambo yao safi maana hapa kuna wasomi,wafanyabiashara,wakulima
Pia wengine wapo Sauzi,Ulaya na Marekani

Nilitaka kuonesha jinsi utandawazi unavyoweza kumuingizia mtu hela kwa uhakika maana WhatsApp group na blog ni tofauti mfano ukijiunga leo huwezi kukuta meseji/story zilizopita
.........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom