Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kuna wakati unatakiwa uushinde moyo
Nlichogundua unatakiwa kuwa na roho ngumu sana kwenye inshu ya mapenzi otherwise utakufa na unamuacha mwenzako anafurahia maisha
Kikitokea shukuru Mungu futa machozi anza upya
Ni kweli lakin inahitaji moyo sana. Ili kuepuka hayo inabidi tuwe mguu nje mguu ndani ili kuepuka madhira kama haya.
 
Buku tano ...namba unampm ,au unacheki page ya kwanza ya vipepeo kuna namba unamtumia sms jana kashusha moja hatari kuhusu nuclear code
Sasa si ukopi halafu umrushie Licongo PM

Wajanja watakuwa wanakubaliana kundi la watu 10-50 mmoja ajiunge zen awe anawapostia ht whatsapp
Simple
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
....
 
Kuna wakati unatakiwa uushinde moyo
Nlichogundua unatakiwa kuwa na roho ngumu sana kwenye inshu ya mapenzi otherwise utakufa na unamuacha mwenzako anafurahia maisha
Kikitokea shukuru Mungu futa machozi anza upya
Kikubwa usihifadhi kitu chochote kichwani mwako au kwenye moyo kisa mwenzi wako, ni hatari sana
 
Back
Top Bottom