shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Kiutu uzimaKivipi???
Kiutu uzimaKivipi???
We huwa unaangalia camera?Obama hakumwangalia mpiga picha
Mhhhmhhh kweli?Yani nimechomeshwa mahindi![]()
Wasap gani? .....inahusu nini?Sawa ila kule whatsapp ndo kuna uhondo wote ...hujajiunga ??
Shwari, uko poa?Aje humu ndani
Acha nile ujana!Kiutu uzima

Niko poa kabisaaShwari, uko poa?
Mkuu alitoa pendekezo kuwa atafungua group la whatsap ili nondo zake awe anaweka na tunachangia elfu tano kwa mwezi ...cheki page ya kwanza ya mkakati 0034Wasap gani? .....inahusu nini?
Buku tano ...namba unampm ,au unacheki page ya kwanza ya vipepeo kuna namba unamtumia sms jana kashusha moja hatari kuhusu nuclear codeUsiniambie kujiunga sh ngp na no unamtumia pm
Utajuaa tuuKivipi???
Mama Bite uko poaNiko poa kabisaa
Kula lakini ukumbuke kuna uzeeni piaAcha nile ujana!![]()
Cjambo baba Bite wanguMama Bite uko poa
Du unalipa pesa?Buku tano ...namba unampm ,au unacheki page ya kwanza ya vipepeo kuna namba unamtumia sms jana kashusha moja hatari kuhusu nuclear code
Kuna wakati unatakiwa uushinde moyowanaume msi tutende jamani![]()
![]()
Ndio mkuuMhhhmhhh kweli?
Kuna wakati unatakiwa uushinde moyo
Nlichogundua unatakiwa kuwa na roho ngumu sana kwenye inshu ya mapenzi otherwise utakufa na unamuacha mwenzako anafurahia maisha
Kikitokea shukuru Mungu futa machozi anza upya

Ww baba Bite weweee
Kwa mwezi jembeee lake shokaDu unalipa pesa?