shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Haaaahaaaaa![]()
Hiyo experience umeipata wapi
......
Haaaahaaaaa![]()
Hiyo experience umeipata wapi
......
Alishamwagwa hawezi kujimwaga tenaJimwage mukongo
Obama hakumwangalia mpiga picha
We ndo labda hujui masuala ya pichaObama hakumwangalia mpiga picha
HahaahhhBalozi we mbona mchokozi ...ushaona namwita shunie wangu alafu unataka kuninyanganya tonge mdomoni
The Bold akishusha episode ya 8 utaniambiaAhaaaaaaah mi nipo na Shunie wangu
Sawa ila kule whatsapp ndo kuna uhondo wote ...hujajiunga ??The Bold akishusha episode ya 8 utaniambia
Mmh kuna whatsap pia mbona imenipita hiyoSawa ila kule whatsapp ndo kuna uhondo wote ...hujajiunga ??
We ndo labda hujui masuala ya picha
Km unapiga picha hakikisha huangalii kamera bali iache yenyewe ikuangalie la sivyo utatoa macho km bundi ....
*Tabasamu
*Cheka
*Weka pozi n.k
![]()
![]()
![]()
.....

Ameunda group anaweka nondo hatariiiMmh kuna whatsap pia mbona imenipita hiyo
Usiniambie kujiunga sh ngp na no unamtumia pmAmeunda group anaweka nondo hatariii
Poa Poa, karibuAje humu ndani
Uchoyo tuSawa ila kule whatsapp ndo kuna uhondo wote ...hujajiunga ??
Yani nimechomeshwa mahindiAnauliza umevaaje![]()
![]()
![]()
![]()

Nshakaribia mkuuPoa Poa, karibu
Kivipi???Jimwage mukongo