Makapuku Forum

Makapuku Forum

cdf4257ded3c1a79990194e33e52860f.jpg
 
Baada ya kupeana like za kutosha na kusapotiana kwa namma moja au nyingine, napendekeza kuanzia sasa kuwe na kampeni #follow me & i will follow you back. Hii itasaidia kupeana sapoti na kusaidiana tukiwa kwenye Majukwaa mengine ...

kiwelu


member's nauliza namna ya ku-follow raia/member,kipindi niliona thread yake...sikuizingatia ni page IPI...MSAADA hapa[emoji26] [emoji26]
 
Back
Top Bottom