Ukipata msaada urushe pande hiimember's nauliza namna ya ku-follow raia/member,kipindi niliona thread yake...sikuizingatia ni page IPI...MSAADA hapa![]()
![]()
Kabrowse/Google Jf zen join halafu nenda kwenye profile lako/LA MTU ufanye maujanjamember's nauliza namna ya ku-follow raia/member,kipindi niliona thread yake...sikuizingatia ni page IPI...MSAADA hapa![]()
![]()
Jaribu kutumia PC au browser yeyote ni simple sana,ukitumia JF App hutawezamember's nauliza namna ya ku-follow raia/member,kipindi niliona thread yake...sikuizingatia ni page IPI...MSAADA hapa![]()
![]()
Akuuuu we Mme wa mtuTuongee basi pembeni faragha!
mkuu hebu pangilia swali lako basimember's nauliza namna ya ku-follow raia/member,kipindi niliona thread yake...sikuizingatia ni page IPI...MSAADA hapa![]()
![]()
Hahahaaa......Itakukosti mda si mrefu shauri yako.
Mimi ngoja niwe mpole tu
Bora ungetuletea wazima tungechinja wenyeweAsanteni kwa maombi yenu nimerejea salama na nimewaleteeni zawadi murua View attachment 339686wameshachinjwa huko huko hivyo vingine ni dawa za kuzuia kuoza
Hahahahaaa kwanini nazi zimepasuliwa hapo??Asanteni kwa maombi yenu nimerejea salama na nimewaleteeni zawadi murua View attachment 339686wameshachinjwa huko huko hivyo vingine ni dawa za kuzuia kuoza
Hatuwaamini kuku wakoAsanteni kwa maombi yenu nimerejea salama na nimewaleteeni zawadi murua View attachment 339686wameshachinjwa huko huko hivyo vingine ni dawa za kuzuia kuoza
Ila mpaka sasa hivi hawajaja pande hiziHahahaaa......
Hakuna shida ni kiungio tuu zimepasuliwa kuangaliwa kama sio koromaHahahahaaa kwanini nazi zimepasuliwa hapo??
mkuu hebu pangilia swali lako basi
Nitamkabidhi kwanza Faiza akague
Usijali, hatojua chochote.Akuuuu we Mme wa mtu
Cjui hii cm imekumbwa na nini ..Mkuu pokea moja (pm