Ameniambia yupo njianiHadi usiku huu??
Nzuri kabisa
Asituletee shobo zake, u-platinum wake asituletee kwetu.Mimi hata sijamuelewa,anasema lina ukakasi.
Mwambie bhana, mambo ya kutembea usiku na wakati ni mke wa mtu aachane nayo.Ameniambia yupo njiani
Braza kwanini umenena hivyo, kipi kimekusibu?Njaa* na mapenzi* ndiyo chanzo cha matatizo duniani.
Tuongee basi pembeni faragha!Nzuri kabisa
Mkuu ukiona mtu ateseka ujue ni njaa au mapenzi yanamsumbua.Kama huamini fanya uchunguzi utaniambia.Braza kwanini umenena hivyo, kipi kimekusibu?
Kweli kabisa.Naona weekend hii watu wamekuwa busy kwenda 'out', naona Makapuku wamejichimbia sana.
NitamwambiaMwambie bhana, mambo ya kutembea usiku na wakati ni mke wa mtu aachane nayo.
Ila ni kweli, kuna jamaa kondakta wa hiace nimeambia jana mchana kakorofishana na mpenzi wake, baada ya mda kidogo akaamua kunywa maji ya betri na kupoteza maisha.Mkuu ukiona mtu ateseka ujue ni njaa au mapenzi yanamsumbua.Kama huamini fanya uchunguzi utaniambia.
Weekend imemeza mpaka wake zetu, ndo maana kila mtu analialia mara mkewe hamuoni.Kweli kabisa.
Weekend imemeza mpaka wake zetu, ndo maana kila mtu analialia mara mkewe hamuoni.
weekend inaisha vibaya sana.Umekua kama youngbood dasa na wewe unamtafuta lizzie du kazi mnayoSijamuona lizziebettie wangu
Mimi nipo mkuu.Mkuu Th Name na youngblood pamoja na Jimena hamjamaliza kuchimba dawa mrudi, mwenzenu nimekuwa mpweke ghafla.
Dah,pole yakeIla ni kweli, kuna jamaa kondakta wa hiace nimeambia jana mchana kakorofishana na mpenzi wake, baada ya mda kidogo akaamua kunywa maji ya betri na kupoteza maisha.