Makapuku Forum

Makapuku Forum

Msimamizi wa jukwaa(moderator) anaijua kazi yake......

Mi ninachojiuliza ni lini Jf itaweza kuwa km YouTube yaani thread ikifikisha idadi fulani ya views mfano 1m Views kungekuwa na malipo Fulani hii ingeleta ushindani wa watu kuanzisha vitu vyenye akili na mvuto mfano mi napenda na kujua masuala ya mitindo/mavazi lakini jukwaa husika niliweka thread 3{moja mod aliifanya sticky) halafu nikagundua kuna mablogger "wanaiba" thread zangu tangu hapo nikaacha kuanzisha thread maana Blog zinalipwa kwa jasho/ubunifu wangu

Kwa wasiojua hata WhatsApp ukianzisha ujumbe/video/picha ikisambaa kwa kiwango fulani unalipwa ndio maana utasikia "tuma kwa watu 10" wale siyo wajingawajinga wanajua wafanyalo
........
Kumbe ni hivyo
 
9b0b12f9f66ecfb8476d963e6914cd96.jpg
Hata sijaelewa
 
Yes, Tafsiri.....poa haina shida mzee wa msuli.....me kwanza kiinglish changu nimejifunza kwa mwalimu Juma learning centre
Yule jamaa alikuwa ni kiongozi wa kampuni ya Ulinzi ya Morgan Stanley katika Jengo la Kimataifa la Biashara New York,alitabiri mlipuko wa mwaka 1993 na shambulio la mwaka 2001
Alipuuzia maelekezo aliyopewa na Mamlaka ya Bandari ya (kutowahamisha wafanyakazi wake kuwapeleka mahali salama) ,akafanikiwa kuwaokoa wafanyakazi wote 7 kati ya 2687 na akafariki ndani ya hilo jengo(Hii ni wakati wa shambulizi la Sept 2001
Ni tafsiri yangu isiyo rasmi
..........
 
Kama umesomea procurement, account, business au marketing, kwa ngazi ya diploma au degree, na haujapata ajira ,na upo tayari kusign mkataba wa miaka 2 hadi 3, na upo tayari kufanya kazi dar,mbeya ,arusha,mwanza na dodoma basi iyo ni shida yako mm hayaniusu.
 
Kama umesomea procurement, account, business au marketing, kwa ngazi ya diploma au degree, na haujapata ajira ,na upo tayari kusign mkataba wa miaka 2 hadi 3, na upo tayari kufanya kazi dar,mbeya ,arusha,mwanza na dodoma basi iyo ni shida yako mm hayaniusu.
Hahaaaaa, dah haya ni majaribu, unataka nikutukane halafu nifungwe?
Yaan mwanzo wa sentensi panafurahisha mwishon sasa... Mungu anakuona lakn
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom