Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,720
- 15,352
Mie pia cjambo baba BiteTuko poa mama Bite wangu ....wewe je ??
Mie pia cjambo baba BiteTuko poa mama Bite wangu ....wewe je ??
Uko Poa lakini jembe ???Asante kwa magazeti mkuu Lee
Tumeamshwa vizuri, vp upande wakoMakapuku mmeamshwaje
Najua mukongo atanipinga ila nilisema mapema ...wewe najua unashabikia TanzaniaHahaha
Umesomeka vyemaLoooooooh![]()
![]()
![]()
![]()
Ila nilisema mapema naipenda Senegal
Tuko poa Dikteta mkuuMko poa wakuu wa Jukwaa
Pamoja mkuu ,ndo raha yetu kapuku kujuzana taarifa japo wengi hawatupendi kama niniMkuu Lee Asante kwa uchambuzi murua kabisa
Nilikuacha umepumzika vipi na wewe ushatokaMie pia cjambo baba Bite
??Mie cjambo pia mkuuTumeamshwa vizuri, vp upande wako
Tuko poa diktetaMko poa wakuu wa Jukwaa
Niko poa shokaUko Poa lakini jembe ???
VyemaMie cjambo pia mkuu
Usawa huu ukijifanya unajua kulala sana inakula kwako,ngoja nkatafute ya saloonNilikuacha umepumzika vipi na wewe ushatoka??
Apo sawa jembe, shunie anakusalimia japo ulimnyima uhai ya njiti tatuNiko poa shoka
Umenena vyema kipenzi ndo maana nakupendea bure ...make nilikua nshawaza uanze kunyoaUsawa huu ukijifanya unajua kulala sana inakula kwako,ngoja nkatafute ya saloon
Nilikuwa naye jana,Leo atapata baga kukuApo sawa jembe, shunie anakusalimia japo ulimnyima uhai ya njiti tatu
Heeeee makubwa hayaUmenena vyema kipenzi ndo maana nakupendea bure ...make nilikua nshawaza uanze kunyoa
Umenena vyema kipenzi ndo maana nakupendea bure ...make nilikua nshawaza uanze kunyoa

Kusaidiwa sitaki nisije kuwa wale jamaa zangu unaowaitaga wa Dar ..ngoma tutaicheza mimi na weweHeeeee makubwa haya
Ukisaidiwa je