waache wakae huko huko aisee bitoz anaakili sana sasa kawakusanya wenzie kuna amani humu just imagine wangekuwa wametapakaa huku kitaa si ingekuwa tabu sana? big up bitoz
Duu nimeshindwa kukuelewa ,Bitoz ni mtu wa namna gani na hao wenziwe aliowakusanya kama unavyosema ni kama watu fulani wasiohitajika kwenye jamii ndio maana kitaa ingekuwa tabu ?

Kuna kapuku ye yote humu anayepambana na cholesterol tupeane mbinu? Kuna kakitambi ka bia niliachwa nako tangu mwaka juzi nilipoacha pombe kamegoma kuondoka. Nimekapigisha gym na kukakimbiza mabarabarani na japo kamepungua sana lakini bado kapo. Uvumilivu unaelekea kuniishia
Leo katika historia; Leo ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa aliyekuwa bingwa wa ngumi za uzito wa juu duniani, Muhammad Ali aliyefariki June 3, 2016.
Tupia neno [HASHTAG]#RIP[/HASHTAG] kumtakia mapumziko ya amani