Karibu sana jisikiee uko home kwa makapukuJamany me mgeni humj naomba mnikaribishe
Duu nimeshindwa kukuelewa ,Bitoz ni mtu wa namna gani na hao wenziwe aliowakusanya kama unavyosema ni kama watu fulani wasiohitajika kwenye jamii ndio maana kitaa ingekuwa tabu ?waache wakae huko huko aisee bitoz anaakili sana sasa kawakusanya wenzie kuna amani humu just imagine wangekuwa wametapakaa huku kitaa si ingekuwa tabu sana? big up bitoz
watundu na wanafanana kabisaa................wewe labda ndo unataka kuwatukanaDuu nimeshindwa kukuelewa ,Bitoz ni mtu wa namna gani na hao wenziwe aliowakusanya kama unavyosema ni kama watu fulani wasiohitajika kwenye jamii ndio maana kitaa ingekuwa tabu ?
Kwa tafsiri rahisi haya ni matusi
Ngoja na mimi nikachungulie huko kwa makapuku
Poa shululu, familia haijambo?Mukongo vp
Hahahaha.Halafu kama ulikuwa hujui hii forum ni dating center nzuri sana,watu wanachukuana kishenzi shenzi tu hata badoo haioni ndani!!......
Karibu joowzey, toa like upate like,Jamany me mgeni humj naomba mnikaribishe
Kuruka ukuta ni muhimu
Leo katika historia; Leo ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa aliyekuwa bingwa wa ngumi za uzito wa juu duniani, Muhammad Ali aliyefariki June 3, 2016.
Tupia neno [HASHTAG]#RIP[/HASHTAG] kumtakia mapumziko ya amani![]()
Hapo Sudan au Somalia?Ngoja nipate cha Uruguay nitarud mida![]()
Potelea mbali
Kuna kapuku ye yote humu anayepambana na cholesterol tupeane mbinu? Kuna kakitambi ka bia niliachwa nako tangu mwaka juzi nilipoacha pombe kamegoma kuondoka. Nimekapigisha gym na kukakimbiza mabarabarani na japo kamepungua sana lakini bado kapo. Uvumilivu unaelekea kuniishia![]()
komaa utatoboaa
Ahaaaaah komando kipensiiii tumekupata