Wapendwa Makapuku. Kumekucha. Ni siku nyingine tena tumebarikiwa. Nawaombea mibaraka tele. Hebu na tukatimize wajibu wetu kwa kutenda yale yampendezayo Mungu; kwa kuwabariki na kuwasaidia binadamu wenzetu hasa masikini wasio na kitu, mayatima na wagonjwa wanaoteseka mahospitalini. Na ikawe !!!