sandramalando
Member
- Oct 25, 2016
- 37
- 16
Hahaha kweli unaijua mwenyewe*ZIMEBAKIA SIKU 367 KUMALIZA MWAKA WA 2017.. KARIBU 2018* akili zangu nazijua mwenyewe !
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji111][emoji28]
Hahaha kweli unaijua mwenyewe*ZIMEBAKIA SIKU 367 KUMALIZA MWAKA WA 2017.. KARIBU 2018* akili zangu nazijua mwenyewe !
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji111][emoji28]
lee kila mtu na pesa zake [emoji28][emoji28]Unakaba mpaka penati shunie wangu
Ni kweli shunie bhasi mukongo akija bila pesa tutaomba atusubirie kwa kutupigisha storylee kila mtu na pesa zake [emoji28][emoji28]
[emoji28][emoji28][emoji28]kwa nn unamsemea mukongo naye atakujaje sehem bila helaNi kweli shunie bhasi mukongo akija bila pesa tutaomba atusubirie kwa kutupigisha story
Huwez jua shunie[emoji28][emoji28][emoji28]kwa nn unamsemea mukongo naye atakujaje sehem bila hela
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Huwez jua shunie
Tuko poaahamjambo umu
aiseeeShunie unanilaumu bureee![]()
Kapuku sio wa mchezo
Tottenham analoa!!!Ndiyo hivyo mkuu
[emoji106] [emoji3][emoji28][emoji28][emoji28]tupooo
Vinaitwa lawalawa[emoji23]Papaaa hivi vipipi kama bazoka
Bwahahahahahaaaaa[emoji13] [emoji13] [emoji13]Tunabadilisha maji taka kuwa maji safii ....[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
[emoji3] [emoji106]Inamaana shunie wangu huniamini??
[emoji87] [emoji87]Sharti mojawapo muhimu kuwa na pesa za emergency ..alafu kila mtu atakula kulingana na urefu wa kamba yake ..ila wewe hata usipokuwa na emergency money
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Najua Shululu. Na ni jambo jema. Zamani utani kati ya kabila na kabila ulikuwa jambo la kawaida. Hata leo bado utasikia watu wakisema "Oh nyie Wakinga watani wetu..." ila sisi Wasukuma nadhani ni watani wa kila mtu.
Juzi juzi hapa naona hata Wanyakyusa nao wameanza kutaniwa taniwa japo ni wakali sana. Inaonekana bado hawajakomaa sawasawa na wakitaniwa wanatoka povu balaa [emoji23][emoji23][emoji23]![]()
[emoji13] [emoji134]Bhasi njoo na nyingi kiasi
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Una utani na Bitoz