Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
ha ha bas acha nikuaminiInamaana shunie wangu huniamini??
ha ha bas acha nikuaminiInamaana shunie wangu huniamini??
Wasukuma tuliwakosea nini jamani? Sasa hapa si kuna hatari ya kusafoketi kabisa? Kazi kwelikweli!





Ayo ndo maneno sasa ,ha ha bas acha nikuamini
tuambie tuone kama tutaviwezaKaribu lunch kapuku wote ila vigezo na masharti na utii vinazingatiwa
Ahsante kwa mazageti ya leo mkuu lee empireKwa udhamini murua na mnono wa mkuu Lothrito tuone udaku kuna nini![]()
kazi ipo kwelikweli .vijana wanapotea![]()
![]()
![]()
Tukatafute tonge la Leo
Nafurahi kuona makapuku wote Mungu anatupigania tunaendelea na afya njema

kila WakatiKweli mkuu Mungu yu mwema
AmenMuwe na siku njema Mungu awabariki

Sharti mojawapo muhimu kuwa na pesa za emergency ..alafu kila mtu atakula kulingana na urefu wa kamba yake ..ila wewe hata usipokuwa na emergency moneytuambie tuone kama tutaviweza
Najua Shululu. Na ni jambo jema. Zamani utani kati ya kabila na kabila ulikuwa jambo la kawaida. Hata leo bado utasikia watu wakisema "Oh nyie Wakinga watani wetu..." ila sisi Wasukuma nadhani ni watani wa kila mtu.Unajua wasukuma Wana watani wengi sana



ha ha ha nimecheka kwa sauti mm nitakuja na pesa zangu na nitakula kutokana na urefu wanguSharti mojawapo muhimu kuwa na pesa za emergency ..alafu kila mtu atakula kulingana na urefu wa kamba yake ..ila wewe hata usipokuwa na emergency money

Bhasi njoo na nyingi kiasiha ha ha nimecheka kwa sauti mm nitakuja na pesa zangu na nitakula kutokana na urefu wangu![]()
Una utani na Bitoz*MIMI SIO MTABIRI LAKINI HUMU WOTE MMEVAA CHUPI na boksa ZA MWAKA JANA_*
*ACHENI UJINGA*
Najua Shululu. Na ni jambo jema. Zamani utani kati ya kabila na kabila ulikuwa jambo la kawaida. Hata leo bado utasikia watu wakisema "Oh nyie Wakinga watani wetu..." ila sisi Wasukuma nadhani ni watani wa kila mtu.
Juzi juzi hapa naona hata Wanyakyusa nao wameanza kutaniwa taniwa japo ni wakali sana. Inaonekana bado hawajakomaa sawasawa na wakitaniwa wanatoka povu balaa![]()

ha ha hapana kila mtu aje na zake ale kutokana na urefu wakeBhasi njoo na nyingi kiasi
Usinifanyie hivo ...tunaweza vamiwa na mukongo na unajua mimi nimetanguliaha ha hapana kila mtu aje na zake ale kutokana na urefu wake
ha ha mukongo atakuja na zake pia kila mtu na zake leeUsinifanyie hivo ...tunaweza vamiwa na mukongo na unajua mimi nimetangulia

Anajikinga na mbu!!!Wasukuma tuliwakosea nini jamani? Sasa hapa si kuna hatari ya kusafoketi kabisa? Kazi kwelikweli!
Unakaba mpaka penati shunie wanguha ha mukongo atakuja na zake pia kila mtu na zake lee![]()