Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
[emoji28][emoji28][emoji28]tupooo
[emoji28][emoji28][emoji28]tupooo
Papaaa hivi vipipi kama bazoka
kazi ipoTukayapitie magazeti kama yalivoandikwa kwa udhamini mkubwa wa Quigley![]()
posho byebyeee![]()
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]![]()
Ngada kweli inawamaliza vijana![]()
siri sirini![]()
Watakuwa wa udsm make term hii vijana wanasema wemelamba dume![]()
mkuu ila kiukweli yake maneno yalikuwa makali [emoji115] [emoji115]![]()
yeyote ataguswaa ..
Lee ubarikiweKwa udhamini murua na mnono wa mkuu Lothrito tuone udaku kuna nini![]()
kazi ipo kwelikweli .vijana wanapotea![]()
![]()
![]()
Tukatafute tonge la Leo
Asante shunie wetu ,tunakupendaLee ubarikiwe
Tunabadilisha maji taka kuwa maji safii ....[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]ha ha kwahyo iko kiwanda cha nn
Ipo kwelikweliiikazi ipo
Nawapenda pia lee [emoji8][emoji8]Asante shunie wetu ,tunakupenda
ooh yale maji meupe mbona mwanzo ulinikataliaTunabadilisha maji taka kuwa maji safii ....[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Asante sana mrembo wetu na vizuri unatutembelea mapema Siku hiziNawapenda pia lee [emoji8][emoji8]
[emoji87] [emoji87] jamani angalia vizuri palipo na moto ndo maji taka tunaweka kinachotoka kitu 'super 'ooh yale maji meupe mbona mwanzo ulinikatalia
Mmh ngoja nirudie[emoji87] [emoji87] jamani angalia vizuri palipo na moto ndo maji taka tunaweka kinachotoka kitu 'super '
Wasukuma tuliwakosea nini jamani? Sasa hapa si kuna hatari ya kusafoketi kabisa? Kazi kwelikweli!
Inamaana shunie wangu huniamini??Mmh ngoja nirudie
Hapana, ni weweNdiyo wewe huyo
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]Tunabadilisha maji taka kuwa maji safii ....[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
AsanteNawapenda pia lee [emoji8][emoji8]
Unajua wasukuma Wana watani wengi sanaWasukuma tuliwakosea nini jamani? Sasa hapa si kuna hatari ya kusafoketi kabisa? Kazi kwelikweli!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Wasukuma tuliwakosea nini jamani? Sasa hapa si kuna hatari ya kusafoketi kabisa? Kazi kwelikweli!