Pesaa ya kukuja uko iko no kuipataAko Palii, naskiaga Tanzanie muko nasoma numbree ukuye huku nikupe mukazi ya kufanya upate uro
Uza telefonee na muviwalo!Pesaa ya kukuja uko iko no kuipata
Hahaha...wanateseka sanaNasikia Policcm wamevamia JF
Hawajui tofauti kati ya software na hardware
......
Jana na leoMussolin5 upo mkuu!!
Papaa ako ku nyumba, mimi nafikili polisee nakamataga wewe na MaxTomboka kikongo
Policcm hawawezi kamata mutu ya bandeko na ngaiPapaa ako ku nyumba, mimi nafikili polisee nakamataga wewe na Max
Anavutia
Huyu dada Mungu anajua
Mungu anawaona mjueWAZO LA LEO
```DELA BILA CHURA NI SAWA NA KANZU TU```
UKIMAIND NATUMA TENA
Policcm hawawezi kamata mutu ya bandeko na ngai
kaka shikamoo napita tu nimesema ngoja niingie kwa makapuku forum nn wanapost niangalie mana naona uzi kila mara kumbe ndio mambo yenyewe ndio haya
Karibu bhanakaka shikamoo napita tu nimesema ngoja niingie kwa makapuku forum nn wanapost niangalie mana naona uzi kila mara kumbe ndio mambo yenyewe ndio haya
Huku watu wanafahamiana na kuna utani wa hapa na pale dadangu usiogopeee
Karibu bhana
Jamani nan kakupiga dongo huyo!!!hapana kaka nilipita tu kuchungulia kuna nn humu nimeingia nimekutana na dongo linanihusu nyie wabaya sana
Mungu anawaona mjue
Tomboka=kukasirika kwa lugha ya kilingaliTomboka kikongo
Miss wew bhanaJana na leo
Huyu twamwita Mkongo ni mtu mcheshi na vichekesho balaa, wala usihofu dadake
Jamani nan kakupiga dongo huyo!!!
uyo werrason mkongo ukivaa dera huna chura umevaa kanzu
Chura ni majaaliwa na sio wote wanapenda churauyo werrason mkongo ukivaa dera huna chura umevaa kanzu