Makapuku Forum

Makapuku Forum

kaka shikamoo napita tu nimesema ngoja niingie kwa makapuku forum nn wanapost niangalie mana naona uzi kila mara kumbe ndio mambo yenyewe ndio haya [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huku watu wanafahamiana na kuna utani wa hapa na pale dadangu usiogopeee[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]hapana kaka nilipita tu kuchungulia kuna nn humu nimeingia nimekutana na dongo linanihusu nyie wabaya sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huku watu wanafahamiana na kuna utani wa hapa na pale dadangu usiogopeee[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Karibu bhana
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]uyo werrason mkongo ukivaa dera huna chura umevaa kanzu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Anavituko sana huyu werason but ni mtu peace sana.
Kule mnadanganyana kuwa huku tu wakorofi mara nini but sio kweli, hapa watu wanaheshimiana, kupendana na hata kufahamiana physically, so twaitana family
 
Back
Top Bottom