Kwa kubadilika hujamboJe comprends maintenant
AiseeZuberi alimpa ujauzito mwanafunzi
akashtakiwa.
Kumbe Zuberi ana bibi
yake mtaalamu wa yale mambo yao
ya Sumbawanga, akampachika Zuberi
jinsia ya kike alipofika mahakamani
kuhojiwa Zuberi akasema sijampa ujauzito kwani mimi nina jinsia ya kike.
Kwa kuthibitisha Zuberi akajifunua
nguo basi akashinda kesi, kufika
nyumbani Zuberi akawakuta watu
wamejaa wanalia, akauliza kulikoni?
Akaambiwa bibi yako amefariki.
Zuberi akawa Zubeda![]()
MwambieGoogle translation haiwezi kukupa sentensi iliyonyooka, french na kiingereza muundo wa sentensi hutofautiana
Salaamaaaakumekuchaaaa
unasemaje wewe?Kwa kubadilika hujambo
Kwahiyo nimebugi?Google translation haiwezi kukupa sentensi iliyonyooka, french na kiingereza muundo wa sentensi hutofautiana
Kiasi kikubwaKwahiyo nimebugi?
lakini sipo google trans,......
BonjourBon matin
nisahihishe kama nimekosea.
Me direBonjour
morning hawa yuuMorning family
Pas de problèmeKiasi kikubwa