Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,223
- 39,928
Merci Papaa.Leo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Paul Scholes, Kiungo fundi kabisa wa kiingereza, niwatakie siku njema.
Merci Papaa.Leo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Paul Scholes, Kiungo fundi kabisa wa kiingereza, niwatakie siku njema.
Mkuu leo niliona nikusaidie picha za Scholes tu, samahani kwa kuingilia majukumu yaako lakini.Mi nilikuwa najiumauma tu km JPM darasa zima linaangua kicheko
Tangu msingi nilikuwa najua kuchora picha/zamani/katuni ndiyo maana hadi leo napebda sana katuni
![]()
![]()
...............
Wewe umeweka za tykondo tuMkuu leo niliona nikusaidie picha za Scholes tu, samahani kwa kuingilia majukumu yaako lakini.
Mzee wa buyuHalafu hakuwa na Mboyoyo, Mkimyaaaa!!!
Hamna tatizoMkuu leo niliona nikusaidie picha za Scholes tu, samahani kwa kuingilia majukumu yaako lakini.
Huo ni upande wa pili wa shilingi, ndio maana haishangazi Scholes kuwa na yellow card nyingi kwenye uefa kuliko mchezaji yoyote. Na alikuwa mtu wa 3 kwa yellow card kwenye EPLWewe umeweka za tykondo tu
Pamoja sana kubwa lao.Hamna tatizo
Mimi nilishafanya yangu kuongezea siyo ishu
Mtu yoyote yupo huru
......................
Tatizo ni pale mtu anapoleta kapicha kamoja halafu "anaingia mitini" sehemu zingine.....Pamoja sana kubwa lao.
Umesomeka mkuuTatizo ni pale mtu anapoleta kapicha kamoja halafu "anaingia mitini" sehemu zingine.....
Mfano Tets & Kitabu wapo poa siku wakiamua hushusha picha za kueleweka mwanzo mwisho kufanya kweli
Maana tukio unaloliona halina maana kwako kuweka picha kuna wengine kwao lina maana kubwa
......
Huyu dada Mungu anajua
Uko sahihiTatizo ni pale mtu anapoleta kapicha kamoja halafu "anaingia mitini" sehemu zingine.....
Mfano Tets & Kitabu wapo poa siku wakiamua hushusha picha za kueleweka mwanzo mwisho kufanya kweli
Maana tukio unaloliona halina maana kwako kuweka picha kuna wengine kwao lina maana kubwa
......
kwanini?Huyu dada Mungu anajua
Kwa herufi kubwaUmesomeka mkuu
Anavutiakwanini?
Vp Werrasson
TetramelyzVp Werrasson
Ulifikia wapi ile ishu tulioongeaTetramelyz
Powa Tetra, inakuwaje Babalai?Vp Werrasson