Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nimegundua saga la Melo limewafanya mods wawe na hasira badala ya woga

Now thread za kumchana Faru John zinaachwa tu....ht reply za kuwachamba kina FaizerFix hazifutwi....watu wanachanwa had I misamba halafu NO BAN tofauti na zamani
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
........
[emoji4]
 
Hilo nililiona Jana kwenye uzi wa sokwe
 
tapatalk_1481806484312.jpeg
 
*Dah!!! vitoto vingine vinaumbua sana*[emoji15]

Tulikua kwenye daladala, mtoto mmoja akamuuliza mama yake, *mama tunaenda wapi na hatujaoga*?[emoji38][emoji38][emoji38]

Dereva imembidi asimamishe gari tucheke kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom