Makapuku Forum

Salama kabisa naona forum imechangamka mpaka raha.

Hongera Bitoz kwa ubunifu huu...
Ukisikia bangi ndio hizi, yani Mexence Melo na Mike Mushi wakae waumize akili, waje na idea waanzishe Jambo forum ife halafu waanzishe JF na kuiendesha kwa shida, leo hii thread ya chitchat inaitwa ubunifu!!

Sasa nimeelewa kwa nini China miaka 23 mtu injinia lakini Bongo umri huohuo utakuta ni admin wa group la wasapu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…