Makapuku Forum

Siwasapoti hata chembe but mchawi wao ni wao wenyewe

hata hivyo kuna point moja tu ya msingi nimeiona ambayo wanayo

kuhusu likes yaaani unapata notification ya like kwa comment moja zaidi ya kumi lakini ukicheki zinasomeka 5 tu maximum halafu baadhi ya watu wwngine zipo mpka 29, sasa sijaelewa bado inakuaje kuaje.

Mod fanyieni hilo kazi ikiwezekana mtoe ufafanuzi .

Ni hayo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…