Makapuku Forum

Makapuku Forum

Sijahisi kama unaninsult ila mwenyewe umekuja vibaya mwanzo..

By the way nimeamua kutoa nnchofaham so atakekipenda atanfata pm na najua mm ntamuelimisha VIP

Please matola pita taratibuu endelea na mambo yako...
Tafdhari sanaaaaa
Kila ishu inaruhusiwa
Anayependa mpira sawa
Anayependa umbea sawa
N.k

According to post # 3
No limitation
Kila MTU yupo free
Matusi TU ndo mwiko
....................
kausha basi mwana, unaweza ukafanya mambo mengine sio lazima humu, binadamu bhana

Unajuwa JF kabla haijaanza kujitegemea tumekuwa tukikamuana pesa kulipia server katika ule mtindo wetu wa mkono mtupu haulambwi, ingawa nia yako ni njema lakini tuisaidie JF kwa kutojaza server bila sababu za msingi.

Iko njia rahisi pia ya kuwawekea link wale wanaopenda kujisomea, hizi topic zote zimo humu, ila ugonjwa wetu Wabongo ukiambiwa ukweli unahisi insult.
 
Sijaelewa kwenye mauzo mkuu
Iko hivi tikiti maji la mbegu ya F1 sukar likitunzwa vizur linakuwa kubwa linaweza kujaa kwenye ndoo ya Lita kumi ....

Hivyo basi eka moja inauwezo wa kutoa tikiti 2400 ambayo matikiti 1200 yanajaza gar ya tani 3 hvyo ukilima eka mbil unauwezo wa kujaza gar 4.... Ambapo gar moja ni kuanzia sh1.8 had m2 msimu ule mzur wa kiangaz..

Na uuzaji wake huwa tunakubaliana na madalal wa bugurun na ni vizur ukubaliane muuziane shamban yaan waje na gar wachukulie shamba
 
Kama anavyosema UncleBen, hili swala la matabaka siyo geni JF, mifano michache ni:-

- Wanawake over 30 wanavyobaguliwa humu (kwa sasa naona kama imepungua kidogo)
- Single mothers kila siku wanapondwa
- Nyumbu (aka wazungusha mikono) vs Lumumba BK7
- Wagalatia vs Wazee wa milipuko
etc

Hawa Makapuku wameenda next level kutengeneza forum yao, kama hawamtukani mtu mi naona sawa tu.
Mkuu swalama? Habari za Siku...
Mwanao hajambo
 
761e6d1a8b20fed22df881c0702a4426.jpg

:
..............
 
Bibie achana na huyo jamaa hana asilo lijua kama vitabu vya dini ,utaumiza kichwa chako bure
Naona unajipendekeza ili upendekezwe, good strategy jifanye unacare na longofya zote unaweza ukafanikiwa, na usisahau kulike post zake.
 
Sijahisi kama unaninsult ila mwenyewe umekuja vibaya mwanzo..

By the way nimeamua kutoa nnchofaham so atakekipenda atanfata pm na najua mm ntamuelimisha VIP

Please matola pita taratibuu endelea na mambo yako...
Tafdhari sanaaaaa
Mkuu cjaona tatizo, mbona kila kona watu wanajadili vitu visivyo na tija hajakosoa iweje hapa ndo iwe hivyo, uckatishwe tamaa Amaizing
 
Naona unajipendekeza ili upendekezwe, good strategy jifanye unacare na longofya zote unaweza ukafanikiwa, na usisahau kulike post zake.
ATAKAYELETA MATUSI YA NGUONI
"Tunamuombea Ban
Vijembe ruksa
................................
Wewe kahtaan si ashakuweka ndani ,akutoshelezi au naona unatafuta mume kwa nguvu
 
Iko hivi tikiti maji la mbegu ya F1 sukar likitunzwa vizur linakuwa kubwa linaweza kujaa kwenye ndoo ya Lita kumi ....

Hivyo basi eka moja inauwezo wa kutoa tikiti 2400 ambayo matikiti 1200 yanajaza gar ya tani 3 hvyo ukilima eka mbil unauwezo wa kujaza gar 4.... Ambapo gar moja ni kuanzia sh1.8 had m2 msimu ule mzur wa kiangaz..

Na uuzaji wake huwa tunakubaliana na madalal wa bugurun na ni vizur ukubaliane muuziane shamban yaan waje na gar wachukulie shamba
Hivi madalali wanalipa cash au mkopo maana nawaogopa kama sumu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom