Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,786
Kwema mkuuNipo ndugu yangu majukumu tu vipi heri ?
Wewe boya kama unataka ujasiliamali ingia link hiyo hapo chini ukikosa cha kufanya wewe basi tena. Mnaazimwa akili mnaleta ujuwaji.Wewe kahtaan si ashakuweka ndani ,akutoshelezi au naona unatafuta mume kwa nguvu
Mimi Ban kwangu sio tatizo Bitoz ,kwangu ni jiwe kwa jiwe sio zaidi ya hapo ,mtu akijiheshimu nitamuheshimu ,asipo niheshimu simiheshimu hivyo yaaniATAKAYELETA MATUSI YA NGUONI
"Tunamuombea Ban
Vijembe ruksa
................................
HaaaahaaHamia man city buawana.
Hayo mawazo yako ya milioni moja mpelekee nyanya yako huko akalimie fenesiWewe boya kama unataka ujasiliamali ingia link hiyo hapo chini ukikosa cha kufanya wewe basi tena. Mnaazimwa akili mnaleta ujuwaji.
Mtaji wa milioni 1-5: Naweza kufanya Biashara gani?
Kumbe tuko pamojaHaaaahaa
Siwez kuiacha MAN U nlikuwa nayo kipindi chote cha raha na hats hiki kipindi kigumu ntakuwa nayo tuuu...
TeAm Man u damuu
Mkuu mtu unamuognore TUMimi Ban kwangu sio tatizo Bitoz ,kwangu ni jiwe kwa jiwe sio zaidi ya hapo ,mtu akijiheshimu nitamuheshimu ,asipo niheshimu simiheshimu hivyo yaani
Kaka Mimi walinilipa cash japo ni nwanamke ila kwa Swala la pesa nakuwaga mwanaume aisee....Hivi madalali wanalipa cash au mkopo maana nawaogopa kama sumu!
Business ideas (Bure)Hayo mawazo yako ya milioni moja mpelekee nyanya yako huko akalimie fenesi
Boya kati yangu na wewe nani ?? Wewe ndoa yako na Kahtaan imekushinda ?? Mimi sili haramu acha kunilegezea sauti
Nasikia watu washasepa na kamera nne katka daraja hilo![]()
Kigamboni bridge
...............
Chelsea tuna matatizo yetu lakini man u mmezidi. Japo leo kun kaniharibia siku lakini bado sikati tamaa. Huyu jamaa nitampenda siku ya mechi ya UEFA.Haaaahaa
Siwez kuiacha MAN U nlikuwa nayo kipindi chote cha raha na hats hiki kipindi kigumu ntakuwa nayo tuuu...
TeAm Man u damuu
Haya wifi kila la kheriChelsea tuna matatizo yetu lakini man u mmezidi. Japo leo kun kaniharibia siku lakini bado sikati tamaa. Huyu jamaa nitampenda siku ya mechi ya UEFA.
Pole mama (pm) plizKaka Mimi walinilipa cash japo ni nwanamke ila kwa Swala la pesa nakuwaga mwanaume aisee....
Kaka madalali unavyoenda nao shamba wanapakia matunda uko pale na unahakikisha kwenye gar unamtu aneangalia na shamban kuna MTU anefuatilia mchakato mzima ..wewe upo kolikoli na dalali..