shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
HBD Patrik, aliwafungaga man gori zuri sana1973 - Patrik Berger anazaliwa.
Ni kiungo wa zamani wa Borussia Dortmund, Liverpool, Aston Villa na timu ya taifa ya Jamhuri ya Czech.
HBD Patrik, aliwafungaga man gori zuri sana1973 - Patrik Berger anazaliwa.
Ni kiungo wa zamani wa Borussia Dortmund, Liverpool, Aston Villa na timu ya taifa ya Jamhuri ya Czech.
Ni Kati ya Rapa naowakubali sana1978 - Eve anazaliwa.
Ni rapa wa muziki toka nchini Marekani.
Kifaa hicho
Kisa nini aisee2009 - Robert Enke anajiua.
Ni golikipa wa zamani wa Barcelona, Benfica, Hanover 96 na timu ya taifa ya Ujerumani.
Alifariki akiwa na miaka 32 tu.
Ndiyo hivyo![]()
![]()
![]()
Alikuwemo kwenye kikosi kilichomaliza ligi bila kufungwa sijui 2003/04)
....
Leo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Jimena Jimenez a.k.a Iron Lady.
Siku njema.

Pole sanaMorning wakuu
Naomba mtu anisaidie kupost magazeti hadi nitakapokaa sawa, simu inazingua sana toka jana
Nzuri, nilikuwa UngujaPoa shululu, habari za dar
Mukongo vpKwema humu ndani???
Kumbe yanga kashinda
Inaanza lini![]()
![]()
Tukutane raundi ya pili
.........
Sijajua ila ligi husimama mwezi na kituInaanza lini
Tff wangese sana, mwezi mzima?Sijajua ila ligi husimama mwezi na kitu
....
Huyu Jamaa vp
Ndo ninavyojua labda kuwe na mabadiliko ngoja nicheki FixtureTff wangese sana, mwezi mzima?
Simba kama Trump vile naita miujiza nyie subirieni tu .Huyu Jamaa vp
Sijiwa na bandoHata JF hujaona au![]()