Makapuku Forum

Makapuku Forum

1986 - Samuel Wanjiru anazaliwa.

Alikuwa ni mwanariadha wa mbio ndefu za Marathon toka nchini Kenya.

Alishinda medali ya dhahabu katika michezo ya olimpiki mwaka 2008.

Alifariki dunia mwaka 2011 akiwa na umri wa miaka 24 baada ya kujirusha kwenye ghorofa lake huko Nairobi.
3ab5499b24e261cfafd058d1cb179d44.jpg
3986f670692a1555a70fdd2f81f07d00.jpg
7b781a19638731e30782dff21f06fe49.jpg
 
1992 - Wilfred Zaha anazaliwa.

Winga wa Crystal Palace na timu ya taifa ya Uingereza.

Alichemsha vibaya aliposajiliwa klabuni Man Utd.

Alikuwa ni mchezaji wa mwisho kabisa kusajiliwa na Kocha Sir Alex Ferguson klabuni Man Utd kabla ya kocha huyo kustafu.
b22ca9d015ff54e861285d0bc6077c6c.jpg
aac9f8547154ba197b143883d4747ea4.jpg
3cf525e985fc35b20f7c6d935c65b8d2.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom