Kila ishu inaruhusiwaSijahisi kama unaninsult ila mwenyewe umekuja vibaya mwanzo..
By the way nimeamua kutoa nnchofaham so atakekipenda atanfata pm na najua mm ntamuelimisha VIP
Please matola pita taratibuu endelea na mambo yako...
Tafdhari sanaaaaa
kausha basi mwana, unaweza ukafanya mambo mengine sio lazima humu, binadamu bhana
Unajuwa JF kabla haijaanza kujitegemea tumekuwa tukikamuana pesa kulipia server katika ule mtindo wetu wa mkono mtupu haulambwi, ingawa nia yako ni njema lakini tuisaidie JF kwa kutojaza server bila sababu za msingi.
Iko njia rahisi pia ya kuwawekea link wale wanaopenda kujisomea, hizi topic zote zimo humu, ila ugonjwa wetu Wabongo ukiambiwa ukweli unahisi insult.
Huyo jamaa Kila kitu anakijua yeye humu. Kuna mda huwa anaandika pumba sana ila basiBibie achana na huyo jamaa hana asilo lijua kama vitabu vya dini ,utaumiza kichwa chako bure
Ni mpuuzi mmoja tu achaneni naeHuyo jamaa Kila kitu anakijua yeye humu. Kuna mda huwa anaandika pumba sana ila basi
Iko hivi tikiti maji la mbegu ya F1 sukar likitunzwa vizur linakuwa kubwa linaweza kujaa kwenye ndoo ya Lita kumi ....Sijaelewa kwenye mauzo mkuu
Mkuu swalama? Habari za Siku...Kama anavyosema UncleBen, hili swala la matabaka siyo geni JF, mifano michache ni:-
- Wanawake over 30 wanavyobaguliwa humu (kwa sasa naona kama imepungua kidogo)
- Single mothers kila siku wanapondwa
- Nyumbu (aka wazungusha mikono) vs Lumumba BK7
- Wagalatia vs Wazee wa milipuko
etc
Hawa Makapuku wameenda next level kutengeneza forum yao, kama hawamtukani mtu mi naona sawa tu.
Mkuu umepotea sanaMakapuku nimewakubali naona baadhi ya watu washaanza vijembe vyao ,uzi unatembea utafiriki ni wa updates za Camp nou
Nipo ndugu yangu majukumu tu vipi heri ?Mkuu umepotea sana
Zile stress zote za wakongwe zimekata.
[emoji778] : [emoji639]
..............
Naona unajipendekeza ili upendekezwe, good strategy jifanye unacare na longofya zote unaweza ukafanikiwa, na usisahau kulike post zake.Bibie achana na huyo jamaa hana asilo lijua kama vitabu vya dini ,utaumiza kichwa chako bure
Mkuu cjaona tatizo, mbona kila kona watu wanajadili vitu visivyo na tija hajakosoa iweje hapa ndo iwe hivyo, uckatishwe tamaa AmaizingSijahisi kama unaninsult ila mwenyewe umekuja vibaya mwanzo..
By the way nimeamua kutoa nnchofaham so atakekipenda atanfata pm na najua mm ntamuelimisha VIP
Please matola pita taratibuu endelea na mambo yako...
Tafdhari sanaaaaa
Naona umeanza kuropoka sasaNaona unajipendekeza ili upendekezwe, good strategy jifanye unacare na longofya zote unaweza ukafanikiwa, na usisahau kulike post zake.
Stress sizipend ila nazivumilia maana MAN U siwez kuiachaaaKama hupendi stress shabikia man city
Hamia man city buawana.Stress sizipend ila nazivumilia maana MAN U siwez kuiachaaa
ATAKAYELETA MATUSI YA NGUONINaona unajipendekeza ili upendekezwe, good strategy jifanye unacare na longofya zote unaweza ukafanikiwa, na usisahau kulike post zake.
Wewe kahtaan si ashakuweka ndani ,akutoshelezi au naona unatafuta mume kwa nguvu
Hivi madalali wanalipa cash au mkopo maana nawaogopa kama sumu!Iko hivi tikiti maji la mbegu ya F1 sukar likitunzwa vizur linakuwa kubwa linaweza kujaa kwenye ndoo ya Lita kumi ....
Hivyo basi eka moja inauwezo wa kutoa tikiti 2400 ambayo matikiti 1200 yanajaza gar ya tani 3 hvyo ukilima eka mbil unauwezo wa kujaza gar 4.... Ambapo gar moja ni kuanzia sh1.8 had m2 msimu ule mzur wa kiangaz..
Na uuzaji wake huwa tunakubaliana na madalal wa bugurun na ni vizur ukubaliane muuziane shamban yaan waje na gar wachukulie shamba