Kwema mkuuNawasalimu kwa hisani ya Lodilofa na Sokomoko
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.......
Anafikiri jasusi sawa na mwandishiJasusi ukikamatwa unafanya kazi yako katika nchi nyingine hukumu ni kifo.
poa mkuu tupo!Kwema kabisa
Ndo naingia Jf
.....
Kama kawaida![]()
No stress
......
Kama wewe hivi [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hii kazi kwa wapenda ubwabwa hawaiwezi!!!
Any time MadamWell done
Sawa. Bw. ShululuVizuri Tetramelyz
Nalikuwa najaribu tu bradhaAhsante kwa Mapichapicha kiongozi.
Habari zenu wakuu wa humu..Kwema kabisa
Ndo naingia Jf
.....
Mobro.... Tafuta hiyo playstoreDaah wakuu ni vip week end inakwendajee?? Naombeni mwene kujua website au channel au application oote ya kwangalia mpira online anijuzee. Ntashukuru wakuu
Natambulisha Live Online Tv kwenuDaah wakuu ni vip week end inakwendajee?? Naombeni mwene kujua website au channel au application oote ya kwangalia mpira online anijuzee. Ntashukuru wakuu
Kwanza mimi siyo RaisHabari zenu wakuu wa humu..
Ebhana Mr. President Bitoz nimeona nije huku 'nyumbani kwako' maana kule ambako tumesigana kidogo comment yako naitafuta siioni..
Mkuu, sory kama nimekukwaza kwa ile comment yangu niliyomensheni makapuku forum but nadhani haukuelewa, niliandika ile as a compliment to makapuku forum, yani in fact nilikuwa nasifia sio kuponda but nadhani haukunisoma fresh.. Nilichokuwa namwambia yule mchuchu yani dizaini kama anataka chatting si aje tu huku Makapuku forum why aanze kuomba watu wamuunganishe magroup ya whatsapp!! Labda the way i said it didnt come out right but it was meant to be a compliment..
Sory sana Chief kama ulikwazika, that wasnt my intention..
Sijui kama mnafahamu kuwa huu ndio uzi wenye comment nyingi zaidi, views nyingi zaidi na ndio uzi uliotrend zaidi toka kuanzishwa kwa JF, kwahiyo nawaheshimu sana Makapuku, sana..
Again, so sory for the misunderstanding. Tuko pamoja sana wakuu, one love brothers.!