Makapuku Forum

Makapuku Forum

IMG_20161105_191016.jpeg
 
Kwanza mimi siyo Rais


Nilijua hauko serious maana nakufahamu ni mtu poa na nafuatiliaga nondo zako
Nilikuelewa ndio maana nikafafanua kisha nikaweka neno "kohsrehere chako" kiutani tu
Comment nilifuta ndio kawaida yangu maana sipendagi majibishano na watu au shari yaani sipendagi watu waniquotequote
Kiufipu "tumetaniana" tu
Wala usiwaze
Mi nipo kawaida tu
........


roger that.!!
 


roger that.!!
Hainaga noma
Huwezi kunikuta sehemu najibizana/gombana na watu
Labda chitchat 7bu ni swaga na utani kwa sana

Halafu thread inayoongoza kwa views ipo km sticky jukwaa la tech ina 2M views....

KF anaongoza kwa views wengi ktk kipindi kifupi tu tangu ianzishwe tofauti na thread zingine zimechukua muda mrefu
Kwa replies hakuna mpinzani
.............
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom