Makapuku Forum

Makapuku Forum

1925 - Jasusi wa Kiingereza Sidney Reilly ananyongwa mpaka kufa huko Moscow, Urusi.

Alikuwa ni Jasusi mahiri zaidi katika karne ya 20 na alijulikana kama " Super Spy ".
88d45beec3c46fa97268c7caac38c3b8.jpg
ac028a6945fd98c75d307bcc60938ff1.jpg
 
2000 - Bibi Titi Mohamed anafariki Dunia.

Alikuwa ni mwanasiasa toka nchibi Tanzania.

Alishiriki katika Jaribio la Mapinduzi la kutaka kupindua Serikali ya Nyerere mwaka 1969-1970 akiwa na Lifa Chipaka na Oscar Kambona aliyeratibu jaribio hilo akiwa Ughaibuni.

Alifungwa kwa uhaini mpaka alipokuja kupata msamaha wa Rais Nyerere na kurudi tena kuwa swahiba wake.

Ni moja kati ya wanawake waliopitia magumu mengi enzi za uhai wake. Huyu ni Iron Lady wa Tz.
 
ef1c7c2bed4b5d1d4eebc65d52211ad5.jpg
60fc73d20805dceea43f2beef03d2ccb.jpg
a068aa3292f7474612acf8ef701bdd0e.jpg
 
2000 - Bibi Titi Mohamed anafariki Dunia.

Alikuwa ni mwanasiasa toka nchibi Tanzania.

Alishiriki katika Jaribio la Mapinduzi la kutaka kupindua Serikali ya Nyerere mwaka 1969-1970 akiwa na Lifa Chipaka na Oscar Kambona aliyeratibu jaribio hilo akiwa Ughaibuni.

Alifungwa kwa uhaini mpaka alipokuja kupata msamaha wa Rais Nyerere na kurudi tena kuwa swahiba wake.

Ni moja kati ya wanawake waliopitia magumu mengi enzi za uhai wake. Huyu ni Iron Lady wa Tz.
Apumzike kwa amani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom